kiSwahili

Wimbi jipya la uporaji ardhi linaikumba Tanzania

Tanzania inaendelea na duru nyingine ya uwekezaji wa kigeni katika kilimo biashara, kwa kugeuza maelfu na malaki ya hekta za ardhi kuwa mashamba makubwa, ambapo makampuni makubwa yatazalisha mazao ya kuuza nje ya nchi, na wala si kuzalisha kwa ajili ya chakula cha ndani kwa ajili ya watu wake. Wakati China ikiitazama Tanzania kama chanzo chake kipya cha kuzalisha na kusambaza soya, hatua hii inaweza kuchochea wimbi jipya na lengine la unyang’anyi na uporaji wa ardhi, wenye athari kubwa kwa wakulima wadogo wa Tanzania.

Mikono mbali na nyasi yetu ya buffel! Wafugaji wa Kenya wanapinga ubinafsishaji wa bioanuwai zao

Mgogoro huu unaonesha namna sheria na kanuni zinazodhibiti sekta ya mbegu zimeundwa kuyanufaisha makampuni ama watu binafsi kwa mkanganyiko wa moja kwa moja na haki za wakulima na jamii za wenyeji. Kwa hili la nyasi za buffel, Murray anatumia tu mlango tu wa ubinafsishaji mbegu unaotengenezwa na Sheria ya Mbegu na Aina za Mimea ya Mwaka 2012 ya nchi ya Kenya – itokanayo na UPOV 1991.

Mazao biofuti (Biofortification) au bionuwai (Biodiversity)? Mapambano ya kutafuta suluhisho halisi la utapiamlo yameanza.

GRAIN iliangalia hali ya sasa ya biofuti huko Asia, Afrika, na Amerika Kusini na masuala yanayoibuka kutokana na mtazamo wa kike na harakati za umiliki wa chakula. Kile tulichopata ni ushinikizaji wa kutia wasiwasi wa mbinu ya juu-chini, unaopambana na mwelekezo bionuwai wa chakula na afya, ambao hatimaye utadhoofisha uwezo wa watu kuimarisha mifumo yao ya chakula.

Mazao biofuti (biofortification) au bionuwai (biodiversity)?

”Biofuti”(Biofortification) inalenga kuongeza virutubisho chache katika mazao kwa njia ya kuzalisha mimea, kwa kutumia mbinu za jadi au zana mpya za bioteknolojia. Ingawa kuna virutubisho Zaidi ya 40 ambavyo tunapaswa kupata kutoka kwa chakula chetu kwa afya bora, lengo la utafiti wa biofuti ya mazao ni tatu tu: madini ya zinki, madini ya chuma na virubutisho (vitamini) A.

Wazalishaji halisi wambegu: Mifumo ya mbegu za wakulima barani Afrika

A summary of the key messages of "The real seeds producers: Small-scale farmers save, use, share and enhance the seed diversity of the crops that feed Africa", in Swahili, Kamba, Kisii, Kuria and Luo.

Nguo Mpya za Ukoloni: Mikataba ya Ushirikiano wa Kiuchumi (EPAs) kati ya Umoja wa Ulaya (EU) na Afrika

Tangu mwaka wa elfu mbili na mbili (2002), mataifa ya Afrika, Caribbean na Pacific (ACP), yamehusika kwa mazungumzo ya makubaliano ya kibiashara yenye usawa, yajulikanayo kama, Mkataba wa Muungano wa Kiuchumi (EPA) na Umoja wa Ulaya (EU). Na kwa vile iliangaziwa kuwa ushindi mkuu kwa mataifa ya ACP katika nyanja ya kujiendeleza kiuchumi na katika ukuzaji wa viwanda, ukweli ni kwamba ni makubaliano yenye mfumo wa kikoloni yanayofaidi upande mmoja.  Hata ingawa haijapata kutangazwa sana, EPA imeendelea kupata upinzani kutoka kwa mataifa ya ACP, juu ya madhara yake kwa wakulima wadogo. Baadhi ya mataifa ya Afrika ambayo yameangaziwa hapa yaonyesha jinsi jamii zinapigania kuchukua tena mamlaka dhidi ya mali yao na kulinda soko zao kutokana na wingi wa bidhaa duni, dawa za kupulizia mimea, pamoja na bidhaa zenye viini vinasaba (GMOs), ambazo zimeingia sokoni mwao kutoka mataifa ya EU.